Jaza Pochi!!, offa kutoka @oledoinyo inayokupa fursa kupata mkwanja. Unachotakiwa kufanya ni kuleta mteja kuja kuhost nasi website au kudesign. Kwa kila mteja utakaye mleta utapata 10% ya malipo ya huduma hiyo. Tumia fursa hii kadri uwezavyo alika watu wengi zaidi kutumia huduma zetu. Kumbuka ukileta mteja asipotumia huduma zetu hutapata hiyo offa ya 10%. Kwa wale wateja wanataka kuhost tumia code ya XMAS kupata punguzo la 15% kwa kila package ya host.
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Kwa maelezo zaidi piga +255 765 322904/+255 656 587011, email info@oledoinyo.com au
Saturday, December 3, 2016
Powered by WHMCompleteSolution
Oledoinyo | Web Services
Copyright © 2019 - oledoinyo.com - All Rights Reserved.